<< Back to search results

88.0
 5 votes - Book - First release: 2015-03-12T15:46:07Z

Screenshots


Description - 4+

Nyimbo za Kristo ni program tumishi iliyotengenezwa kwa makusudi ya kusaidia usomaji wa nyimbo za kristo kwa kutumia iPhone, iPad na iPod touch  ukiwa mahali popote!. Programu hii ina mambo yafuatayo:
1. Kutafuta Jina au Namba ya wimbo
2. Kusoma wimbo
3. Kusikiliza sauti ya wimbo
4. Kusoma noti za wimbo
5. Kutafuta nyimbo za makundi mbalimbali