Description
My Novena – Sala za Kila Siku za Novena
Pata Novena maarufu za Kikatoliki kwa Kiswahili, zikiwemo:
Novena kwa Mtakatifu Yosefu
Novena kwa Mtakatifu Rita wa Kashia
Novena kwa Huruma ya Mungu
Novena kwa Mama Bikira Maria
Novena kwa mtakatifu Antoni wa Padua
Novena ya Roho Mtakatifu
App hii ya bure hukuwezesha:
1. Kusali novena kwa siku 9 hadi 12
2. Kuweka alama ya siku uliyoomba
3. Kupata sala za kila siku kwa urahisi
4. Kufuatilia maendeleo yako ya sala
5. Kupata kumbukumbu ya sala maalum kwa kila mtakatifu
Tunakupa njia rahisi na ya kiroho ya kukua katika imani yako kupitia sala na tafakari kila siku.
Tumia majina kama:
"Novena ya Mtakatifu Yosefu"
"Novena ya Roho Mtakatifu"
"Rozari takatifu"
"Sala kwa kiswahili"
"Mistari ya biblia"
"Novena ya Mt. Rita"
"Sala za Kikatoliki"
kupata app hii haraka kwenye App Store!
Chagua My Novena – Maombi Yako, Kila Siku.