NSSF App app icon

NSSF App

National Social Security Fund (TZ)

★ 0.00 ratingsFinanceFree

Description

Mfumo wa "NSSF TAARIFA" umebuniwa mahususi kwa ajili ya wanachama. Mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake kwa urahisi. Kupitia mfumo huu, mwanachama anaweza kufanya yafuatayo: a) Kuangalia Taarifa za Usajili wake (Member Profile): - Kupata taarifa binafsi za usajili. b) Kuangalia Taarifa za Michango: - Kupata taarifa zote za michango iliyowasilishwa na kampuni katika Shirika. - Kupata taarifa za michango iliyowasilishwa na wanachama wa hiari. c) Kupata Taarifa za Michango (Statements): - Kupata taarifa kamili za michango iliyowasilishwa. d) Uhakiki wa Wastaafu: - Kuona taarifa za mstaafu. - Uhakiki Mfumo huu unalenga kuwezesha mwanachama kuwa na ufahamu zaidi kuhusu michango yake na kusaidia katika kupanga mipango ya kifedha kwa ufanisi.