Bezaleli app icon

Bezaleli

Tanzania Assemblies of God

★ 0.00 ratingsUtilitiesFree

iPhone Screenshots

App screenshotApp screenshotApp screenshot

Description

Bezaleli ni mtandao unoliunganisha Kanisa la TAG kuanzia ngazi ya washirika, wachungaji, Kanisa la mahali pamoja, sehemu (section), majimbo, kanda hadi Kanisa la Taifa. Mawasiliano Bezaleli inarahisisha upatikanai wa taarifa rasmi za Kanisa kwa washirika na wachungaji katika ngazi zote. Makusanyo Ukusanyaji na utawanyaji wa Sadaka na Matoleo katika kanisa la TAG umerahisishwa hivyo kuongeza uwajibikaji katika ngazi zote. Bezaleli inakusaidia kuweza kupata namba za kumbukumbu za malipo (Control Numbers) kwa ajili ya kuwasilisha malipo. Takwimu Pata takwimu za fedha na mpango mkakati zitakazosaidia kufanya maamuzi katika ngazi zote za Kanisa.